Imeitwa APP PESA kwa sababu Unahitaji NETWORK (Mtandao, Internet au bando ili kuifanya), so huwez kuifanya ukiwa offline
Unahitaji NETWORK (Mtandao wa WATU mbali mbali ambao utashikirikiana nao kufundishana na kuelekezana kuhusu namna ya kujitengenezea pesa kupitia mtandao)
APP PESA ni biashara kama biashara nyingine, na upekee wake mkubwa ni kuwa APP PESA inahitaji mtaji mdogo sana ili kuifanya, mara nyingi mtaji wake huanzia Tzs 10,000 mpk Tzs 13,000 tu
Vijana wengi sana kwa sasa wameamua kujiajiri kupitia fursa hii ya APP PESA, nao walianza kuwa na nia ya dhati ya kujifunza kama wewe tu, na zile shauku zao zikawapelekea kuondoa woga na mashaka na kuamua kuingia kwny fursa hii ili kujikomboa kiuchumi
Wengi wanaofanya biashara hii ni vijana kati ya umri wa miaka 17-25, na lengo ni kujitengenezea PESA kama biashara nyingine, na upekee wake mkubwa ni kuwa APP PESA Haichagui wala kubagua
KARIBU APP PESA PLATFORM BORA TANZANIA
0 Comments